Habari za Punde

Msanii wa Fani ya Uchoraji Zanzibar Akiwa Kazi Kuchora Picha.

Msanii wa Fani ya Uchoraji wa picha Zanzibar Ndg. Yahya Mzee akiwa katika kazi hiyo kama alivyokutwa na mpiga picha wa Mtandaa huu wakati wa usiku katika viwanja vya Ngome Konge Zanzibar akiwa kazi akichora picha kwa kutumia simu yake kumurikia na kuangalizia picha ya Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete, akimalizia kuchura picha hiyo ikiwa na Watu watatu walioinua vipaji kwa Vijana katika Tasnia ya Sanaa ya Uchoraji wakiwemo Dkt. Mhando aliyekuwa CEO wa Ziff na Dkt Aida kutoka Nchini marekani aliyetowa elimu ya uchoraji kwa kutumia rangi za maji.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.