Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Awasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Akitokea Nchini Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (kushoto) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari  maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza kwa safari  maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudh wakati wa mapokezi  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari  maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Viongozi mbali mbali  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Uingereza akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa mbali mbali   katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono Wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa Mvali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.