Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Korea Lee Nak-yeon wakati wakielekea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo
Ikulu kwa ajili ya kushuhudia tukio la Utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja
jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan
mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Korea Lee Nak-yeon wakishuhudia tukio la utiaji saini Mkataba wa mradi wa
ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia
katika Hospitali ya Agha Khan hadi maeneo ya Coco beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali mara baada ya tukio la utiaji saini wa mradi
wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia
katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.

Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri
ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya tukio la utiaji saini wa mradi wa ujenzi wa
Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika
Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.

Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu wa Jamhuri
ya Korea Lee Nak-yeon watatu kutoka (kushoto)pamoja na viongozi wengine wa
Jamhuri ya Korea, Serikali ya Tanzania, Wabunge, Wakuu wa Wilaya pamoja na
viongozi wa Mkoa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Korea Lee Nak-Yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment