Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Azungumza na Wananchi wa Kibaha Maili Moja Pamoja na Mbezi Mwisho.

Wananchi mbalimbali wakikimbilia msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kusimama katika eneo la Mbezi Mwisho ambapo aliwahutubia wananchi hao.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya  wananchi wa Mbezi Mwisho waliosimama katikati barabara ya Morogoro kuhusu kero zao mbalimbali wakati akitokea Kibaha Kwa mfipa mkoani Pwani ambapo aliweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere.

Wananchi wa Mbezi Mwisho wakishangilia wakati msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukipita katika eneo la Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibaha maili moja wakati akitokea Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani ambapo aliweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.