Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wanafunzi wa JWTZ Ikulu Jijini Dar es Salaam leo 7-7-2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la  Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) aliowatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.
Kikosi cha gwaride la kimya kimya kikitumbuiza wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni kwa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam
Kikosi cha gwaride la kimya kimya kikitumbuiza wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni kwa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mafunzo wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku  Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akiondoka eneo la gwaride baada ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine katika picha ya pamoja na watunukiwa baada ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi wakuu wa jeshi wastaafu kutoka kushoto  Jenerali Hagai Mirisho Sarakikya, Jenerali Robert Mboma na Luteni Jenerali  Tumainieli Kiwelu baada ya hafla ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.