Habari za Punde

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZAA LA MAPINDUZI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi   katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee(kulia) alipokuwa akichangia katika  mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018,kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (katikati) Waziri Issa Haji Ussi Gavu na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi  Nd,Salmin Amour Abdulla
Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni na Utalii Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni (kushoto) akichangia katika  mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwepo na Washauri wengine wa Rais (kulia) Mhe.Burhani Saadat Haji Mshauri wa Rais Ardhi na Ujenzi na Dkt.Mauwa Daftari Mshauri wa Rais Pemba
Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar wakiwa  katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar wakiwa  katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Viongozi katika Idara zilizochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani
[Picha na Ikulu.] 04/07/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.