Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Malawi katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Bibi.Hawa Olga Ndilowe  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, akimaliza muda wake wa kazi Nchini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi wa Jamhuri ya Malawi katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Bibi.Hawa Olga Ndilowe  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, kwa kumaliza muda wake wa kazi Nchini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Balozi wa Jamhuri ya Malawi katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Bibi.Hawa Olga Ndilowe  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais,kwa kumaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 27/07/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.