Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akithibitisha ubora wa silaha baada ya kutembelea Makao Makuu
ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (watatu kutoka kushoto),
akipata maelezo juu ya ubora wa silaha inayotumika katika kupambana na uhalifu
baada ya kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la
Polisi, Nsato Marijani (kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola, baada ya waziri kutembelea
Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo Ukonga, jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mrakibu Mwandamizi, Paulo Sanga.
Sajenti
wa Jeshi la Polisi, Kusekwa
Machibya akizungumza na Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kutoka kushoto) baada ya waziri kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo
Ukonga, jijini Dar es Salaam. Wengine ni
Maofisa wa jeshi kutoka Makao Makuu ya Polisi, walioongozana na waziri katika
ziara hiyo
Kamishna wa Operesheni
na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola, baada ya waziri kutembelea Makao Makuu ya
Kikosi cha Kutuliza Ghasia, kilichopo
Ukonga, jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment