Habari za Punde

Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba

 Msaidizi mkuu wa Idara Makumbusho na mambo ya Kale Pemba, Salim Seif Salim, akitowa maelezo juu ya historia ya makumbusho yalioko katika eneo la Mkumbuu Pemba.


PICHA NA HABIBA ZARALI-PEMBA.

 Ofisa mdhamini Wizara ya habari ,Utalii na mambo ya kale Pemba, Khatib Juma Mjaja , akitowa maelezo juu ya magofu yalioko katika eneo la Mkuumbuu Ndagoni Pemba, mbele ya Waziri wa Wizara hiyo Mahammoud

Thabit Kombo alipotembelea ebeo hilo.PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

 Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Mahammoud Thabit Kombo, akingalia mawe ya Seledon na Sesenian ambayo yalitumika kwa ajili ya mji wa Mkumbuu Pemba katika

karne ya 7 hadi ya 9.Waziri wa habari Utalii na mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Mahammoud Thabit Kombo, akipata maelezo ya Gofu la Msikiti mkuu uliko katika eneo la Mkumbuu Pemba, kutoka kwa Msaidizi mkuu wa
Idara ya Makumbusho na mambo ya kale Pemba, Salim Seif Salim.


PICHA NA HABIBA ZARALI-PEMBA.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.