Habari za Punde

ZAFICO kununua Boti ya Kisasa ya uvuvi

 MKURUGENZI Mtendaji Kampuni ya Uvuvi ya Zanzibar (ZAFICO) Zahor Kassim Mohamed (kulia) wakitia saini na Mwenyekiti wa Hairu Group ya  Sirilanka  Zainul-Abdeen Mohamed kwaajili ya Ununuzi wa Boti ya Kisasa ya Uvuvi, katika hafla iliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Maliasili na Uvuvi Darajani Mjini Zanzibar.
MKURUGENZI Mtendaji Kampuni ya Uvuvi ya Zanzibar (ZAFICO) Zahor Kassim Mohamed (kulia) wakibadilishana hati za makubadhiano na Mwenyekiti wa Hairu Group ya  Sirilanka  Zainul-Abdeen Mohamed kwaajili ya Ununuzi wa Boti ya Kisasa ya Uvuvi, katika hafla iliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Maliasili na Uvuvi Darajani Mjin
PICHA NA ABDALLA  OMAR - MAELEZO  ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.