Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki wa Uzinduzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mpira Wilayani Ruangwa Kati ya Simba na Namungo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mechi  ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC kwenye ufunguzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11.2018, kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mary, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Lindi Fadhili Juma.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Andrea Chezue kushoto akiwa Msemaji wa Simba Haji Manara Kulia, wakishudia mechi ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC waakt wa uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya RuangwaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akikimbia kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Agosti 11.2018 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.