Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Ujumbe wa BOT Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof Florens D.M Luoga alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa  Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo ukiongozwa na Gavana Prof Florens D.M Luoga (wa pili kuli)
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akifuatana na  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof Florens D.M Luoga baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 28 Aug 2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.