Habari za Punde

Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

 MAFUNDI wa Ujenzi kutoka Kikosi cha Kuzuwia Magendo zanzibar KMKM, wakiendelea na ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, unaoendelea huko Pagali  Wilaya ya Chake Chake Pemba (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 
 WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed, akimsikiliza kwa makini injia wa ujenzi kutoka idara ya Majenzi Pemba Mansour Mohamed Kassim, juu ya hali ya ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Makamu wa Pili unavoendelea huko Pagali, Chake Chake Pemba (PICHA NA 

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed wa pili kulia, akiangalia ramani ya Ujenzi ya Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais, ujenzi unaoendelea huko Pangali Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.