Habari za Punde

Ziara Katibu Mkuu wa CCM Kisiwani Pemba Ashiriki Matembezi ya Vijana.

Katibu Mkuu wa CCM, Taifa Pemba, Dk, Bashiru Ally, akishiriki katika matembezi ya Vijana kuanzia Benk ya Watu wa Zanzibar Pemba hadi Ofisi ya CCM, Mkoa wa Kusini Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM, Taifa Pemba, Dk, Bashiru Ally, akishiriki katika matembezi ya Vijana kuanzia Benk ya Watu wa Zanzibar Pemba hadi Ofisi ya CCM, Mkoa wa Kusini Pemba.

Katibu Mkuu wa CCM, Pemba, Dk, Bashiru Ally, akiangalia ngoma ya Kiumbizi kutoka Pujini Pemba wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Kiwanja cha Ndege cha Karume Pemba kuanza ziara ya Kichama Kisiwani humo .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.