Habari za Punde

Hospitali Kuu yaTaifa Muhimbili Watoa Kiwanja Cha Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Mlongazila

Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakisaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakibadilishana nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakionyesha nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam
Maofisa kutoka Makao Makuu ya Polisi na viongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam

Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Mhimbili Prof. Andrea Pembe wakizungumza baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.(Picha na Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.