Mwanariadha mstaafu mahiri wa Zanzibar Bi safia maneno amefariki dunia maziko leo kwahani mchanga mwingi saa 7
Safia Maneno Suleiman ni miongoni mwa wanariadha walioiletea sifa kubwa Zanzibar miaka ya 70 hadi 80 mwanzoni
Msiba utafanyika kwahani Mchanga msingi Saa Saba leo.
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun Allah amlaze mahala pema Peponi Amin
No comments:
Post a Comment