Beni ya mbwa kachoka ikiongoza maandamano ya Wasanii mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la Kwanza la Urithi wa Mtanzania linalofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar.
Maandamano ya Wasanii Wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la Urithi wa Mtanzania Viwanja vya Maisara Zanzibar.
byzanzinews.com
-
0