Habari za Punde

MAJALIWA ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maua wakati alipowasili kwenye makao mkuu ya kampuni ya Huawei Technologies yaliyopo Shenzhen nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo duniani, Li Da Feng.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vifaa vya elektroniki wakati alipotembelea makao makuu ya kampuni ya Huawei Technologiies yaliyopo, Shenzhen nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo Duniani, Li Da Feng . Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Augustine Mahiga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Huawei Techinologies  yaliyopo Shenzhen nchini China baada ya kutembelea  Ofisi hizo na kuzungumza na viongozi wa Kampuni hiyo, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.