Habari za Punde

Mkutano wa Kura ya Maoni Jimbo la Jangombe Kumpata Mgombea wa CCM Kuwania Uwakilishi wa Jimbo Hilo Kupitia CCM.

Mgombea nafasi ya Uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi Jimbo la Jangombe Zanzibar Bi. Liliali Limo akijieleza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Jangombe kuwania nafasi ya kuteuliwa kuiwakilisha CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo, baada ya Mwakilishi wa Jimbo hilo kuvuliwa uwanachama Ndg Abdallah Maulid Diwani. mkutano huo wa uchaguzi umefanyika katika Tawi la CCM Matarumbeta Zanzibar. 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Jangombe wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa kura za maoni kumchangua Mgombe wa CCM katika uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Matarumbeta Zanzibar. 
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzin 19 waliojitokeza kugombea nafasi hiyo wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Jimbo wakati wa Kura ya Maoni kumpata mgombea mmoja wa CCM kushiriki katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.wakifuatilia wagombea wakijieleza mbele ya wajumbe wa mkutano huo wa uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Matarumbeta Zanzibar.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Jangombe wakifuatilia maelezo ya Wagombea nafasi ya kuiwakilisha CCM katika Uchaguzi Mdogo baada ya Mwakilishi wa Jimbo jilo kuvuliwa Uwnachama wa CCM na kupoteza nafasi yake ya kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Ndg. Abdallah Maulid Diwani, mkutano huo umefanyika katika Tawi la CCM Matarumbeta Zanzibar.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzin 19 waliojitokeza kugombea nafasi hiyo wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Jimbo wakati wa Kura ya Maoni kumpata mgombea mmoja wa CCM kushiriki katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.wakifuatilia wagombea wakijieleza mbele ya wajumbe wa mkutano huo wa uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Matarumbeta Zanzibar.
Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi waliopita Tatu Bora wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Jangombe wakisubiri kutajwa kwa matokea ya Kura za Maoni na msimamizi wa Uchanguzi huo, kilia Bi.Lilian Limo, Ndg. Ramadhani Hamza Chande na Othman Kitwana.wakiwa katika ukumbi wa Mkutano huo.
 Katika Uchaguzi huo mshindi ameibuka Ramadhani Hamza Chande, kwa kura 45, Lilian Limo kura 19 na Othman Kitwana Kura 15. Jumla ya Wajumbe walikuwa 90 na kura zilizopigwa 90 na kura moja imeharibika kura halali 89.  
Msimamizi wa Uchaguzi akitowa maelezo kabla ya kutolewa kwa matokea ya Kura za Maoni katika ukumbi wa Tawi la CCM Matarubeta Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Jangombe wakifuatilia Mkutano huo wakati wa kutolewa matokeo ya Uchanguzi wa kumpata Mgombea wa Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika mwaka huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.