Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli Azungumza na Baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani na Kujumuika Nao Katika Chakula cha Mchana Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Askari wa Usalama barabarani (Trafiki),alipopata nao chai ya asubuhi mara baada ya kutoka kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Osterybay Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata chai ya asubuhi na baadhi ya Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) Ikulu Jijini Dar es salaam mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Osterybay Jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata chai ya asubuhi na baadhi ya Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) Ikulu Jijini Dar es salaam mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Osterybay Jijini Dar es salaam.Septemba 23,2018.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.