Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa
ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto
Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini
Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi
Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa
wa Simiyu
Sehemu
ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu
lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa
ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto
Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini
Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi
Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa
wa Simiyu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara
baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD)
la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya
jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu
Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa
Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo
imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali
mojawapo ya wgonjwa aliyepumzishwa katika chumba cha mapumziko katika hospitali
mpya ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu mara baada ya kuifungua rasmi hospitali
hiyo,Bariadi Mkoa wa Simiyu.

Waziri
wa Afya ,Maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu akizungumza katika
hafla ya ufunguzi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wananchi kabla ya kufungua rasmi jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Afya ,Maendeleo ya
jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthon
Mtaka kabla ya kufuangua jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Simiyu.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
No comments:
Post a Comment