Habari za Punde

Ofisi ya Makamu wa Rais yawasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira kwa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira mara baada ya kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika ngazi ya Serikali za Mitaa. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Balozi Joseph Sokoine akifuatilia majadiliano mara baada ya Ofisi yake kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Sheria ya Mazingira mbele ya Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira. Kulia ni Mhe. Hawa Mwaifunga Mbunge wa Viti Maalumu.

Sehemu ya waheshiwa wabunge wakifuatilia mjadala, kulia ni Mhe Josephine Genzabuke na Mhe. Gibson Blasius Meiseyeki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.