Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Maonyesho ya Siku ya Chakula Duniani Kitaifa Yamefanyika Kisiwani Pemba leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Siku ya Chakula Duniani kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, uzinduzi huo umefanyika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akipongezwa baada ya kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Siku ya Chakula Duniani na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, hafla hiyo imefanyika katika Wilaya ya Wete Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.