Habari za Punde

Shamra Shamra za Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Jangombe Viwanja Vya Matarumbeta Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula akiwasili katika Viwanja vya Matarumbeta Jimbo la Jangome kwa ajili ya Uzuinduzi wa Kampeni ya CCM kumnadi Mgombea Ndg. Ramadhan Hamza Chande akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Talib Ali Talib.  

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Mkutano wa Kampeni Matarumbeta Zanzibar.
Viongozi wa meza Kuu wakiwa wamesimama wakati ukiimbwa Wimbo wa Sisi Sote Tumekomboka 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Viongozi wa CCM kushoto Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Perera Ame Silima katikati na Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Ramadhan Hamza Chande wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa Sisi Sote Tumekomboka katika viwanja vya Matarumbeta.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.