Wazee wakichunguuzwa Afya zao na kupatiwa matibabu katika Maadhimisho ya miaka 73 ya Umoja wa Mataifa Zanzibar kwa Wazee wanaoishi katika nyumba za Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.

Naibu Waziri wa Kazi uwezeshaji Wazee Vijana wanawake na watoto Zanzibar Shadya Moh’d Suleiman akizungumza na Wazee wanaoishi Sebleni katika maadhimisho ya miaka 73 ya Umoja wa Mataifa.
Mwakilishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa Tanzania Alvoro Rogriguez akifanya vipimo vya afya yake katika Maadhimisho ya miaka 73 ya Umoja wa Mataifa Zanzibar katika makaazi ya Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Vijana walioshirika Maadhimisho ya miaka 73 ya Umoja wa Mataifa wakifanya usafi katika Nyumba wanazoishi Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
Picha na Miza Othman Maelezo –Zanzibar.
No comments:
Post a Comment