Habari za Punde

Jengo Jipya la Msikiti wa Maisara Ukiwa Umekamilika Ujenzi Wake Unavyoonekana Pichani.

Msikiti Mpya wa Maisara Zanzibar ukiwa katika haiba mzuri baada ya kukamilika ujenzi wake na kutarajiwa kufunguliwa Inshallah Siku ya Ijumaa katika Sala ya Isha usiku kesho.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.