Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya KMKM na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya KMKM imeshinda Mchezo Huo Kwa Bao 3 - 1.

Mshambuliaji wa Timu ya Malindi Zanzibar Haji wa Haji akiwapita mabeki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar,mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa mabao 3 - 1. 
Beki wa Timu ya Malindi Nassor Juma akiwapita mabeki wa Timu ya KMKM kushoto Abdulrahad Juma na kulia Salum Mussa wakijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya KMKM imeshinda bao 3-1.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.