Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Mlandege na JKU Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare Bila Kufungana.

Beki wa Timu ya Mlandege kushoto Nassor Mattar akiondoa mpira huku mshambuliaji wa Timu ya JKU Abubakar Ame akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya 0-0


MCHEZAJI wa Timu ya JKU na Mlandege wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.