Habari za Punde

Kutoka Bungeni leo Kuapishwa Kwa Wabunge Wapya na Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha , Mbunge wa Simanjiro, James Millya, Bungeni jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Job Ndugai (Kulia) akimwapisha Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Bungeni jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chacha, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi baada ya  Mbunge huyo kuapishwa, bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mbunge huyo kuapishwa, Bungeni jijini Dodoma,
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Iramba Magaharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.