Habari za Punde

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akiongea kabla ya ufunguzi wa  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar salaam leo Desemba 18, 2018
Mwenyekiti wa CCM  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar salaam leo
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar salaam leo
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar salaam leo Desemba 18, 2018
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.