Habari za Punde

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ajitambulisha Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Mhe. Thuwaiba Edington Kissasi, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar wakati wa hafla ya kujitambulisha kwa Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Gaudensia Kabaka, kushoto na kulia Katibu Mkuu wa UWT Bi. Queen Mlozi, walipofika Ikulu leo kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Taifa Mhe. Gaudensia Kabaka, alipofika Ikulu leo kujitambulisha na Ujumbe wake na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa UWT uliopofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo, kwa Rais wa Zanzibar. na kufanya mazungumzo.wakwanza Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Gaudensia Kabaka, Makamu Mwenyekiti wa UWT Mhe. Thuwaiba Edington Kissasi na Katibu Mkuu wa UWT Bi. Queen Mlozi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Gaudensia Kabaka, baada ya mazungumzo yao.yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.