Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Akiwaapisha Viongozi Aliowachagua Hivi Karibuni Hafla Hiyo Imefanbyika Ikulu leo.1/12/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiingia katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar, kuhudhuria hafla ya kuwaapisha Viongozi aliowachagua hivi karibu kushika nyadhifa za Uongozi katika, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waliochaguliwa.Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali, Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg.Thabit Idarous Faina na Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar.Bi. Asma Hamid Jidawi.Hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar leo.1-12-2018. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkurugenzi Mpya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg.Thabit Idarous Faina, alipowalisi katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapishwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni.
Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hivi karibuni kutoka kulia Naibu Katibu Mkuu Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali, Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi. Asma Hamid Jidawi na wamwisho Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg. Thabit Idarous Faina, wakipitia hati zao za kiapo kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Ndg.Salum Kassim Ali , wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Kassim Ali, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Kassim Ali, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza na kumkabidhi Hati ya Kiapo Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Kassim Ali, hafla hiyo imefanyika Ikulu leo Zanzibar.

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idrous Faina.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkurugenzi Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg.Thabit Idrous Faina, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarous Faina, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati za Kiapo Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg.Thabit Idarous Faina ,baada ya kumaliza kuapa Ikulu Zanzibar leo.
Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi. Asma Hamid Jidawi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi. Asma Hamid Jidawi, baada ya kuapa leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi.Asma Hamid Jidawi,wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza na kumkabidhi Hati yake ya Kiapo Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar.Bi. Asma Hamid Jidawi, baada ya kumaliza kula kiapo wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akiwa na baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapisha kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibu na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Viongozi wa SMZ, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Baadhi ya Familia wakifuatilia kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibu, na Rais wa Zanzibar Dk. Shein, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi , Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali na Katimu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi. Asma Hamid Jidawi na kulia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg.Thabit Idarous Faina na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika hafla hiyo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi , Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali na Katimu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi. Asma Hamid Jidawi na kulia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg.Thabit Idarous Faina na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika hafla hiyo Ikulu Zanzibar.
Viongozi walioapisha na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao baada ya kumalizika hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.