Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Guem-young Ikulu leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana  na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Ndg.Tiger  Lee, kushoto kwa Rais Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Balozi Song Geum –young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,6-12-2018
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana  na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Bi.Minza Charles Masanja,kushoto kwa Rais Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Balozi Song Geum –young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,6-12-2018
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kuaga na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea, Balozi Song. Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar
Ujumbe aliofuatana nao Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania ukifuatilia mazunguzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo.
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Mazungumzo hayo ya Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania. Balozi Song, wa kwanza Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Mshauri wa Rais wa Zanzibar Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa Uchumi na Fedha Balozi Mohammed Ramia, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar, Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kuja kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania. mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania,Balozi Song Geum-young, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akibadilishana mawazo na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania.Balozi Song.Geum –young, wakati wakiagana baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyeti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwakilishi wa Kampuni ya Kolon Nchini Tanzania Ndg.Tiger Lee,baada ya kumaliza mazungumo na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania alipofika Ikulu Zanzinar, kuja kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyeti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Afisac wa Ubalozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania.Bi. Jiin An,baada ya kumaliza mazungumo na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania alipofika Ikulu Zanzinar, kuja kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyeti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Msaidizi Mwakilishi wa Tanzania Bi.Hyeon-jeong,baada ya kumaliza mazungumo na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania alipofika Ikulu Zanzinar, kuja kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyeti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Ofisa wa Kampuni ya KOLON ya Korea Nchini Tanzania Bi.Minza Charles Masanja, baada ya kumaliza mazungumo na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania alipofika Ikulu Zanzinar, kuja kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.