Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Nakhil ya Dubai Ikulu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Nakhil ya Nchini Dubai, Sheikh Ali Rashid Lootah, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo, akiongozana na Ujumbe wake Ndg.Mohammed Rashed  na Masoud Mbarouk Said.mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu leo.3/12/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Al Nakhil ya Nchini Dubai, Sheikh Ali Rashid Lootah, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mgeni wake Mwenyekiti wa Makampuni  ya Al Nakhil ya Chini Dubai Sheikh Ali Rashid Lootah, alipofika Ikulu Zanzibar leo. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.