Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Awasili Mkoani Dodoma Akitokea Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge wakati walipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Dodoma wakirejea kutoka Dar es salam, Desemba 24, 2018.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.