Habari za Punde

Balozi Seif azindua mradi mkubwa wa umeme katika kisiwa cha Uvinje MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo juu ya ujengaji wa laini kubwa ya umeme kutoka kisiwa cha Fundo hadi Uvinje, kutoka kwa Meneja wa ZECO Zanzibar Hassan Ali Mbarouk, kabla ya kuuzindua rasmi mradi wa Umeme katika kisiwa cha Uvinje Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mpainduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akikunjuwa kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme katika kisiwa cha Uvinje, Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, kibonyeza kitufe na kuangaliwa uwakaji wa umeme, katika kisiwa cha Uvinje Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiongozwa na waziri wan chi Ofisi ya Makamu wa Pili Mohamed Aboud Mohamed wa kwanza kulia, na naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi, wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme katika kisiwa cha Uvinje, Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba Mji na Nishati Zanzibar Tahir Abdalla, akisoma taarifa ya kitaalamu juu ya mradi wa umeme katika Kisiwa cha Uvinje, wakati wa uzinduzi wa mradi huo Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akizungumza na wananchi wa Uvinje Wilaya ya Wete, kwa Niamba ya Mkuu wa Mkoa huo wakati wa uzinduzi wa mradi wa Umeme, Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Ardhi Nyumba maji na Nishati Zanzibar Salama Aboud Talib, akizungumza katika uzinduzi mradi mkubwa wa Umeme katika Kisiwa cha Uvinje Wilaya ya Wete, Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na wananchi wa Uvinje Wilaya ya Wete Mkoa kaskazini Pemba, Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.