Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Mitaro ya Kupitishia Maji Mitaa Mbalimbali Zanzibar Ukiendelea.

Ujenzi wa Mitaro ya kupitishia maji machafu na ya Mvua katika maeneo mbalimbali ukiendelea na Ujenzi huo katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Unguja. kama inavyoonekana Ujenzi huo ukiendelea katika eneo la mikunguni mtaro huo ukiwa katika uchimbaji huo kuunganishwa na eneo linalokaa maji la sebleni kuungani mtaro huo kuweza kuondoa maji haji hadi pwani ya kinazini.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.