Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WIZARA YA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha mjadala na wadau wa madini nchini  wakati wa  Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini (FEMATA) Bw. John Bina  akisoma risala yake katika Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa Madini baada ya kuhudhuria na kuhutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne JanuarI 22, 2019
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.