Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Mubarak Mohammed Al Sehaijan,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Mubarak Mohammed Al Sehaijan,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe.Mubarak Mohammed Al Sehaijan,wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha leo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.