Habari za Punde

Mhe Waziri Kaiuki Azungumza na Kukutana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Waziri wa Nchi Ofisi hiyo anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki akisalimiana na  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe.Anthony Mavunde wakati wa mkutano huo na watumishi wa ofisi yake
Waziri wa Nchi Ofisi hiyo anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bi. Dorothy Mwaluko.
Waziri wa Nchi Ofisi hiyo anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Ofisi hiyo alipokutana nao leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa ofisi yake walipokutana nao mapema hii leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki akizungumza na watendaji wa Ofisi yake (hawapo pichani) walipokutana kuzungumza nao Jijini Dodoma, kulia ni Waziri wa Nchi ofisi hiyo, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama na wa kwanza kushoto ni Naibu wake Mhe. Anthony Mavunde.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki pamoja na Mhe.Jenista Mhagama pamoja na Naibu wake Mhe.Anthony Mavunde wakiwa katika ofisi hiyo walipokutana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu hii leo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi.Maimuna Tarishi akizungumza jambo wakati wa mkutano wao na Mawaziri wa Nchi wa Ofisi hiyo walipokutana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki akizungumza jambo na Viongozi wa Ofisi hiyo alipokutana nao ofisini kwake hii leo, wa kwanza kushoto ni Waziri wa Nchi ofisi hiyo anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama pamoja na Naibu wake Mhe.Anthony Mavunde.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakisubiri kuzungumza na Waziri wa Nchi Ofisi hiyo anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki alipokutana nao kujadili masula ya ofisi yao Januari 30, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.