Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Vijana Sanaa na Utamaduni Zanzibar Ndg. Omar Hassan King. Auzindua Rasmin Uwanja wa Mao Zedong's Kuaza Kutumia Rasmin kwa Michezo Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Vijana Sanaa na Utamaduni Zanzibare Ndg. Omar Hassan King akisalimiana na Timu ya Vijana ya Central Timu ya Suhad AFC,wakatin wa ufunguzi huo wa mchezo wa kwanza kwa Timu za Central na Basketi Ball. Ufunguzi huo umezikutanisha Timu za Central za Suhad AFC na Befic na kwa upande wa Timu za Mpira wa Kikapu umezikutanisha Timu za New West ma Rangers.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.