Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso, bungeni jijini Dodoma 
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) akiteta na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Urambo, Margreth Sitta kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.