Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma Kuahirishwa Kwa Bunge.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim .Majaliwa akisoma hotuba  ya kuahirisha Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika ukumbi Jijini Dodoma baada ya kukamilika shughuli za Mkutano huo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadili jambo na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kumaliza hotuba yeke ya kuahirisha mkutano wa Bunge jijini Dodoma, Februari 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.