Habari za Punde

Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Simai Mohammed Said, Akizungumza Wakati wa Tamasha Hilo Katika Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Forodhani Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza na kutowa shukrani kwa Wadhamani na Wananchi waliohudhuria Tamasha hilo kwa mwaka huu na kutowa shukrani zake kwao wakati wa Onesho hilo katika viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Forodhani Zanzibar na kuutambulisha Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi. wa Sauti za Busara Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar akiutambulisha Uongozi wa Sauti za Busara Zanzibar na Wajumbe wa Bodi wakati wa Tamasha hilo linalofanyika katika viwanja vya Bustani ya Forodhani na Ukumbi wa Ngome Kongwe Zanzibar, lililoaza juzi 7, Febuary na linalotarajiwa kumalizia 10, Febuary 2019. katika viwanja hivyo. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.