Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Wilaya ya Kaskazini"A" Unguja leo na Kufungua Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe.

Jengo Jipya la Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini "A"ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM Kwa Wananchi katika Uimarishaji wa Sekta ya Elimu Zanzibar. yaliojengwa na Muwekezaji wa Makampuni ya And Beyond ikiwemomHteli ya Mnemba Island Lodge Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. AliMohamed Shein, akisalimiana na Wafanyakazi wa Kampuni ya And Beyond ya Island Lodge Mnemba,alipowasili katika viwanja vya majengo ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.