Habari za Punde

Wasanii Kutoka Nchini Afrika ya Kusini wa Band ya BCUC Wakilishambulia Jukwaa la Sauti za Busara Katika Bustani ya Forodhani Wakitowa Burudani.

Msanii wa Kikundi cha BCUC kutoka Nchiuni Afrika ya Kusini Jovi, akitowa burudani kwa Wananchi wa Zanzibare na Wageni katika Jukwaa la Sauti za Busara katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Zanzibar, wakati wa Onesho la Tamasha la Sauti la Busara linalofanyika katika viwanja vya Forodha na Ngombe Kongwe Ukumbi wa Mambo Club. 
Wananchi wa Zanzibar na Wageni kutoka Nje wakifuatilia Onesho la Kikundi cha Band kutoka Afrika ya Kusini cha BCUC kikitowa burudani katika bustani ya viwanja vya Forodhani Zanzibar,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.