Habari za Punde

Wasanii Kutoka Nchini Sudan Wakilishambulia Jukwaa la Sauti za Busara Viwanja Vya Bustani ya Forodhani Zanzibar.

Msanii Nyota kutoka Nchini Sudan akitowa burudani kwa Wananchi na Wageni waliofika katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Zanzibar kufuatilia maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar, linalofanyika katika v\bustani ya Forodhani na Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Forodhani Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.