Habari za Punde

Wasanii wa Swahili Culture Wakitowa Burudani Katika Jukwaa la Mambo Club la Sauti za Busara Zanzibar.

Wasanii kutoka Nchi mbalimbali wanaonda Kikundi cha Swahili Culture, wakitowa burudani katika Jukwaa la Sauti za Busara katika ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar, wakati wa Onesho hilo maalum lililoundwa na Manguli hao wa Muziki kutoka Nchini mbalimbali wanaoshiriki Tambasha la Sauti za Busara Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.