Habari za Punde

Shamrashamra za Michuano ya Fainali ya Kombe la ZBC Yamleyamle Cup Kati ya Uzi City na TRA Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Uzi City Imeshinda Mchezo Huo na Kutawazwa Bingwa Kwa Mwaka 2018/2019.

Vijana wa Kikundi cha Kidedea kutoka Kajengwa Makunduchi wakitowa burudani ya kuhamasisha Michuano ya Fainali ya Michuano ya Yamleyamle CUP ZBC Zanzibar, imeibuka mshindi wa Vikundi vya uhamasishaji katika michuano hiyo na kujinyakulia Tunzo na Fedha Taslim shilingi Laki Moja.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.