Habari za Punde

Skuli ya Maandalizi Mkanyageni
WALIMU wa skuli ya Maandalizi Mkanyageni Wilaya ya Mkoani jina lake halikupatikana maramoja, akitia uji katika ndoo baada ya kuipika, kwa lengo la kuwapelekea wanafunzi wa skuli hiyo kunywa muda wa mapumziko utakapofika.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


PEMBEA moja ya michezo muhimu kwa watoto hususa wanapokuwa Nursery skuli, pichani wanafunzi wa skuli ya Maandalizi Mkanyageni,  wakicheza katika moja ya pembea zilizomo ndani ya skuli hiyo, kama walivyokutwa na kamera ya Zanzibarleo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.